kuhusu sisi
Karibu Kapama Phone, sehemu yako ya kuaminika kwa ajiri ya kununua simu na vifaa mbali mbali vya simu.
Tunauza simu zenye ubora na vifaa vya simu kwa bei nzuri na zinazofikika. Lengo letu ni kuhakikisha kila mteja anapata bidhaa anayohitaji kwa urahisi na kupata huduma bora.
Tunathamini uaminifu, ubora na huduma nzuri kwa wateja wetu.
Kapama Phone-Quality Phone, Trusted Service.
